Please give today to support Hymnary.org during one of only two fund drives we run each year. Each month, Hymnary serves more than 1 million users from around the globe, thanks to the generous support of people like you, and we are so grateful.

Tax-deductible donations can be made securely online using this link.

Alternatively, you may write a check to CCEL and mail it to:
Christian Classics Ethereal Library, 3201 Burton SE, Grand Rapids, MI 49546

Instance Results

In:instances
Text Identifier:"^baba_mwana_roho_mungu_mwenye_enzi$"

Planning worship? Check out our sister site, ZeteoSearch.org, for 20+ additional resources related to your search.
Showing 1 - 2 of 2Results Per Page: 102050
Add to Starred Hymns
TextPage scan

Baba, Mwana, Roho

Hymnal: Nyimbo za Imani Yetu #2 (2003) First Line: Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi Lyrics: 1 Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Kila tukiamka tunakuabudu. Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi, Ewe Utatu, tunakusifu. 2 Baba, Mwana, Roho, wakuaminio, Wanakutolea shukurani zao. Wakusujudia malaika nao: Wewe U mwanzo, nawe U mwisho. 3 Baba, Mwana, Roho, sisi tu gizani, Utukufu wako makosa hauna, U Mtakatifu, nawe U mapenzi, U peke yako, mwenzio huna. 4 Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Ulivyoviumba vyote vyakusifu: Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi, Ewe Utatu, tunakusifu. Languages: Swahili Tune Title: NICAEA
Add to Starred Hymns
TextPage scan

Baba, Mwana Roho

Hymnal: Nyimbo Za Imani Yetu #2 (1994) First Line: Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi Lyrics: 1 Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Kila tukiamka tunakuabudu. Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi, Ewe Utatu, tunakusifu. 2 Baba, Mwana, Roho, wakuaminio, Wanakutolea shukurani zao. Wakusujudia malaika nao: Wewe U mwanzo, nawe U mwisho. 3 Baba, Mwana, Roho, sisi tu gizani, Utukufu wako makosa hauna, U Mtakatifu, nawe U mapenzi, U peke yako, mwenzio huna. 4 Baba, Mwana, Roho, Mungu mwenye enzi, Ulivyoviumba vyote vyakusifu: Baba, Mwana, Roho, Mungu wa mapenzi, Ewe Utatu, tunakusifu. Topics: Irada, Sifa Na Injil Scripture: Isaiah 6:3 Languages: Swahili

Export as CSV
It looks like you are using an ad-blocker. Ad revenue helps keep us running. Please consider white-listing Hymnary.org or getting Hymnary Pro to eliminate ads entirely and help support Hymnary.org.